Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Frank Njuguna SifaMusic

Watch Video Lyrics for Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Read lyrics while watching

Sitaabudu miungu mingine iliyo na mifano yeyote
Sitapiga magoti yangu nisujudu
Nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato
Kwa Yesu, Astahili Sifa ( x2)

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Pokea Sifa
Na utukufu,
Na Heshima
Bwana
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

@ Frank Njuguna - Mtakatifu
(Offering of praises)

Tags: Anointing, Sifa Lyrics

Other songs by Frank Njuguna,

Elohim Adonai Yahweh - Jehovah
Mkuu - Wewe ni mkuu
Holy spirit of the Living God
Nyosha Mkono wako
You are everything
Juu Yako Bwana Naishi

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Mungu Yu Mwema
Niache Niimbe - siku moja
Anabadilisha
Heshima Na Sifa
Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

From the Bible

Categories