Mkuu - Wewe ni mkuu

Frank Njuguna SifaLyrics

Nikuite Mfalme, mfariji, mtetezi, msaada
Masia, Imanueli, Mungu pamoja nasi
Tena niweee, Baba wa Yatima
Nakupa sifa-aa, Pokea sifa

Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, mweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu

Tabibu wa ajabu, mponyaji
kimbilio la wenye haki, Jemedari
Mshinda na baba wa wajane
Nikuite nani hakuna kama wewe
nakupa sifaaa, pokea sifa

Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu

Hakika we wa ajabu, Fadhili zako za milele
Wewe ni wa ajabu, nitakupa sifa na utukufu-uu uu

Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu

Hakuna kama wewe, Mungu mwenye enzi
twakuabudu Bwana, pokea sifa aah

Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu

Tags: Great, Mkuu, Sifa Lyrics

Other songs by Frank Njuguna,

Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana lyrics

Elohim Adonai Yahweh - Jehovah lyrics

Holy spirit of the Living God lyrics

Nyosha Mkono wako lyrics

You are everything lyrics

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu music lyrics related to Mkuu - Wewe ni mkuu

Baba naomba kubarikiwa nawe lyrics
Alipo Bwana yote yawezekana. lyrics
Tunainua Mikono yetu wewe Watosha lyrics
Vizazi hadi vizazi vyakufahamu Wewe ni Mungu lyrics
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa lyrics
Categories

From the Bible