Evelyn Wanjiru - Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote Lyrics

Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote Lyrics

Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe x2

Nikitazama nyuma na mbele
Naona ukuu wako
Kaskazini, kusini pia
naona ukuu wako
Magharibi nako mashariki pia
Naona ukuu wako

Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe

Hakuna mkamilifu katika wanadamu
Zaidi ya ewe Mungu wangu
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri
Kuwa wewe ni Mungu pekee

Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe

Umenipigania vita vikali
Ambavyo mimi singeweza pekee yangu
Maadui waliniandama
Lakini ukawatawanya kwa njia saba
Usifiwe, uabudiwe

Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe

@ EVERLYNE WANJIRU Zaidi Ya Yote

Translation:
Above all, you will still be God, The beginning and the end, you never change



Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote Video

Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote Lyrics -  Evelyn Wanjiru

Evelyn Wanjiru Songs

Related Songs