Tunakuabudu Mwenye enzi Song Lyrics

Evelyn Wanjiru Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Tunakuabudu Mwenye enzi

Read lyrics

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu
Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Tunanyenyeke mbele zako nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Mwana wa mungu simba wa yuda, umetawala uko apa

Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania

Tags: Worship, Kuabudu, Ibada, Sifa Lyrics

Other songs by Evelyn Wanjiru,

Waweza waweza mwokozi mambo Yote
Zaidi Ya Yote Utabaki kuwa Mungu mkuu
Tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Sawa Alright ft. Tembalami
Nikufahamu Zaidi Bwana

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Tunakuabudu Mwenye enzi

Nitaimba sifa Zako - Nitatangaza
Naijulikane Wewe Ni Mungu
Nitainua Macho Yangu
Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana
Uinuliwe Mungu wa Ishara

From the Bible

Categories