Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Evelyn Wanjiru SifaMusic

Watch Video Lyrics for Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Read lyrics while watching

Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na Hofu
asema Bwana yuko pamoja nawe
atembea nawe, afuta machozi
Tulia, ujue yeye ni Mungu wako.

Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.

Shida nyingi, mateso mengi, kilio kingi duniani
Jipe moyo utashinda,
aliyeanzisha, kazi nzuri ndani yako
Ni mwaminifu kutimiza.

Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.
Yebo
wako ooh

Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Akisema, Atatenda
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Wewe Jehovah rafa, Jehova Jireh, Ebeneza
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Elshadai, Elohim, Ebeneza
Ahadi zako hazivunjiki kamwe

Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.
Usilie ewe dada
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.
Usilie mama, usilie baba
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.
Yebo
Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako.

Theme Bible Verses
Zaburi 23:4
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Psalms 23:4
Even though I walk through the valley of the shadow of death, I will fear no evil, for you are with me. Your rod and your staff, they comfort me.

Wafilipi 1:6
Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu;

Philippians 1:6
being confident of this very thing, that he who began a good work in you will complete it until the day of Jesus Christ.

Read our Bible in Swahili and English - Parallel

Tags: Mungu, Tulia, Ahadi, Sifa Lyrics

Other songs by Evelyn Wanjiru,

Waweza waweza mwokozi mambo Yote
Zaidi Ya Yote Utabaki kuwa Mungu mkuu
Tunakuabudu Mwenye enzi
Sawa Alright ft. Tembalami
Nikufahamu Zaidi Bwana

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Ukiwa na Maono ya Mungu - Maono Yako
Mungu Yu Mwema
Tulia na ujue mimi ni Mungu wako
Amenifanyia Amani
Anajibu Maombi

From the Bible

Categories