Nafsi yangu yakutamani - kama ayala

Ephraim SifaMusic

Watch Video Lyrics for Nafsi yangu yakutamani - kama ayala

Read lyrics while watching

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Sung By SIMON DAMIANO
English
As the dear pants for the waters
so my soul longs after you.

Tags: Ayala, Sifa Lyrics

Other songs by Ephraim,

Uniongoze - Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Nafsi yangu yakutamani - kama ayala

Uliyotenda Tenda Sasa
Wewe ni zaidi - Yale umetenda Baba
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa
Mfalme wa Amani
Mbele ninaendelea

From the Bible

Categories