Brother Enock - Damu Yatiririka Lyrics

Damu Yatiririka Lyrics

Damu yatiririka
Damu yatiririka
Damu ya kalivari hata sasa yatiririka
hiyo damu

Damu yatiririka
Damu yatiririka
damu ya calivari hata sasa yatiririka

Damu yatiririka damu ya mungu wangu
Damu ya calivari hata sasa yatiririka

Damu ya yesu imeshinda mauti yote
Damu ya calivari hata sasa yatiririka

Damu yatiririka inaweza mambo yote
Damu ya calivari hata sasa yatiririka

yesu kakufa msalaba yahweh ili mimi niokolewe... aleluyah
Damu yatiririka
Damu yatiririka
Damu ya calivari hata sasa yatiririka


Damu Yatiririka Video

Damu Yatiririka Lyrics -  Brother Enock

Brother Enock Songs

Related Songs