Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe mungu Song Lyrics

Christina Shusho Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe mungu

Read lyrics

Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu
Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote
Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu (rudia)

Umesema wewe, jina lako liko na liko niwe mungu
Unafanya mambo, yaliyo juu ya fahamu zetu mungu
Ukisema ndio, nani awezaye kupinga hakuna
Wewe unatupa, kushinda na zaidi ya kushinda
Unatupandisha,utukufu hadi utukufu mungu (rudia)

Uzima wetu, uko mikononi mwako mungu
Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu mungu
Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu
Mwanadamu nani, wakulinganishwa na wewe mungu
Nani mwenye nguvu, wa kusimama mbele yako mungu (rudia)

Tags: Ibada, Shout, Sifa Lyrics

Other songs by Christina Shusho,

Napokea kwako
napenda nione
Hapo mwanzo kulikwa na neno
Ongoza Hatua Zangu
Umenifanya Ning'are Ninang'ara

Related songs:

Swahili worship Songs - Nyimbo za kuabudu lyrics related to Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe mungu

Sema Nami
Naijulikane
Ahadi Zake
Elohim Adonai Yahweh - Jehovah
Ainuliwe Yesu

From the Bible

Categories