Christina Shusho - Umenifanya Ning'are Ninang'ara Lyrics

Umenifanya Ning'are Ninang'ara Lyrics

Ah Damu ya Yesu imenifanya ning'are

Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara

Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'araa
Ndani ya hiyo nuru... eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzimaa...
Uso wake yesu, aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu, mi nang'araa
Nuru wa injili, utukufu wake christo
Umeingia kwangu mi nang'araa

Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara

Inuka uangazee, nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wee
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wee

Umenifanya ning'are, umenifanya ning'are Ooh Yesu
Umenifanya ning'are, Yesu wee, Umenifanya ning'are, ninang'ara

Umenifanya Ning'are Ninang'ara Video

Umenifanya Ning'are  Ninang'ara Lyrics -  Christina Shusho

Christina Shusho Songs

Related Songs