Christina Shusho - Relax Lyrics

Relax Lyrics

kurelax kurelax wee
Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 

Nani apinge? alichosema Mungu 
Nani alaani? alichobariki Mungu 
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu 
Na kama kuna pando, lopandwa na mwovu, Nangoa mi nangoa, 
liloandikwa kwa hila, nafuta mi nafuta 
Imeandikwa ntakuwa kichwa si mkia wa kwanza si wa mwisho 

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 

Mi na relax narelax ooh 
Mwenyewe amesema, Mi na relax narelax ooh 
Atanipa utajiri wake, Mi na relax narelax ooh 
Atanalisha kama ndege anagani, na relax narelax ooh 
Atanipamba kama ua kondeni, Mi na relax narelax ooh 
Yesu akisema atafanya ooh, Mi na relax narelax ooh 
Neno lake ni amina na kweli, Mi na relax narelax ooh 

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa sukwa hata kumwagika 
Nangoja atimize, Mi na relax narelax ooh 
Eeeh ooh Mi na relax narelax ooh 
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadiri ya utajiri wake 

Relax Video

Relax Lyrics -  Christina Shusho

Christina Shusho Songs

Related Songs