Anabadilisha

Betty Bayo SifaMusic

Watch Video for Anabadilisha

Read lyrics while watching

Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako
Mungu wangu anaweza
kubadili hiyo hali yako
Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako

unakoishi
unachokula
unakolala
Mungu wangu anaweza
anabadilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

He can save your life
He can change your life
He can change everything
He's God, He's God
He can change your lifestyle
He can change your story
He can change everything
He's God, He's God

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

He can change your today
He can change your tomorrow
He can change everything
He is God, He is God
He can change your today
He can change your tomorrow
He can change everything
He is God, He is God

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

Yesu anaweza inua
kutoka mavumini
akuketishe na wafalme
panda yeye ni Mungu
amenitengeneza
ndio ninaimba tena
ndio maana ninaimba yeye
anabadilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

@ Betty Bayo - Anabadilisha
#MakeAdifference

Tags: Anabadilisha, Sifa Lyrics

Other songs by Betty Bayo,

Maneno ya kinywa changu

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Anabadilisha

Si ya Kawaida
Nimekupata Yesu -natamani nitembee
Siteketei, Siangamii
KIBALI - Baba Naomba Kibali Chako
Niache Niimbe - siku moja

From the Bible

Categories