Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya Album: Ahadi za bwana

Anthony Musembi SifaLyrics

Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako

Nisikilize Yahweh

Daudi akasema:

Roho mtakatifu
(hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(ni nani kama wewe)

Roho wake Baba

hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe

English:
Create in me a clean heart,
create in me a new heart,
a heart that is broken before you

Tags: Everlasting, Niumbie, Moyo, Safi, Sifa Lyrics

Other songs by Anthony Musembi,

Ahadi za Bwana Yesu zitatimia lyrics

Related songs:

Swahili Praise and worship Songs Lyrics music lyrics related to Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya

Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh lyrics
Nitatangaza neno lake Bwana lyrics
Bwana ni Nguvu yangu lyrics
Ainuliwe Yesu lyrics
Pokea sifa kwa matendo uliyotenda lyrics
Categories

From the Bible