Aflewo - Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana Lyrics

Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana Lyrics

Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana,

Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana

Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah!

Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah!


Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana Video

Shangilia  - Moyo Wangu Sifu Bwana Lyrics -  Aflewo

Aflewo Songs

Related Songs