Africa Lets Worship 2017 - Ametenda Mema & Awesome God Song Lyrics

Aflewo Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Africa Lets Worship 2017 - Ametenda Mema & Awesome God

Read lyrics

Ametenda Mema Huyu Yesu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda Mema Maishani MWetu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda Mema Huyu Yesu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda mema eeh Bwana
Ndio Maana sisi tunakutuza

Tunatukuza jina Lako Yahweh
Eeh Baba Tunakutuza
Tunatukuza jina Lako Bwana
Eeh Baba Tunakutuza
Tunatukuza jina Lako Yesu
Eeh Baba Tunakutuza

Kwa Lesa Yote Kwa Lesa
Kwa Lesa Yote Kwa Lesa
Kwa Baba Yote Kwa Baba
Kwa Lesa Yote Kwa Lesa

Awesome God Mighty God
I Give you praise
Awesome God Mighty God
I Give you praise
You are higher lifted up
Awesome God
You are higher lifted up
Awesome God

Iyaa iya oh-ooh iya iya

We give praise
We give praise
I give you praise
You are Higher lifted up
Mighty God

Iyaa iya oh-ooh iya iya

Tags: God, Ametenda, Africa, Awesome, Mema, Sifa Lyrics

Other songs by Aflewo,

Africa Lets worship 2015 - Nitamwimbia Bwana Yeye Ni Mwema
Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Africa Lets Worship 2017 - Ametenda Mema & Awesome God

Huyu Yesu
Eeh Baba ee Baba Pokea Sifa
Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana
Mungu Baba twaomba uilinde nchi yetu
Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

From the Bible

Psalms 47 : 2 English

Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.

Psalms 106 : 1 English

Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.

Categories