Mahali Pa Raha

Abiudi Misholi SifaLyrics

Mahali pa raha ya moyo wapi?
Anikingiaye mabaya ndani.
Dunia haina makimbilio
Nisposhindwa na makosa yangu

Sipo sipo hapa sipo
Mbinguni ni ngome ya raha yangu.

Iache dunia ione kombe
Unapofurahishwa moyo wapi
Ni yerusalemu pazuri inapojengwa
Na mawe mazuri ya dhahabu

Ndipo ndipo, ndipo ngome
ya makimbilio ya moyo wangu

Angani mwa Yesu ni raha ajabu
Hakuna makosa na shida Huko
Vinubi sauti na nyimbo nzuri

Raha raha raha tamu
Mbinguni kwa Yesu naitamani

Tags: Raha, Sifa Lyrics

Other songs by Abiudi Misholi,

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs music lyrics related to Mahali Pa Raha

Jina la Yesu lyrics
Ahadi za Bwana Yesu zitatimia lyrics
Bwana ni Mchungaji Wangu lyrics
Ipo siku Yangu nibarikiwe lyrics
Unapojaribiwa lyrics
Categories

From the Bible